Mrembo Hamisa Mobetto Ajifungua Mtoto wa Kiume..Utata Kuhusu Baba wa Mtoto

Hongera zake kwa kupata mtoto na kama hizi tetesi za kwamba ni mtoto wa Diamond zina ukweli basi huyu mtoto kazaliwa mwezi mmoja na dada yake Tiffa….Mwenyewe Hamissa bado ameweka swala la baba wa Mtoto kuwa siri kitu ambacho kinaongeza tetesi kuwa ni mtoto wa Diamond Platnumz huku wengine wakisema kuwa amezaa na Majizo ambae alikuwa Mpenzi wake wa zamani na wana mtoto mmoja pamoja…..

Mtoto wa Hamisa Mobeto
Picha hapo ni mtoto wa kiume wa Hamisa Mobeto mara baada ya kujifungua akiwa Hospitalini..

 

Advertisements

2 Comments

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s