VIDEO:Mchekeshaji maarufu wa Kenya,Erick Omondi ameachia video ya ‘SARATINA’ iliyotokana na ‘SARAFINA’

Erick Omondi ni mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mkubwa Afrika Mashariki kutokana na uwezo wake mzuri wa kuiga watu mbalimbali maarufu.

Na sasa amekuja na video ya SARATINA ambayo wazo la kutengeneza video hiyo ilitokana na wimbo ulio kwenye filamu ya SARAFINA iliyochezwa kuelezea namna utawala wa makaburu ulivyokuwa wa ubaguzi wa rangi huko Afrika ya Kusini,huku Sarafina akiwa ndiye muhusika mkuu katika filamu hiyo…

Sarafina! ni mchezo wa kuigiza wa kimuziki kutoka Afrika ya Kusini iliyotungwa na Mbongeni Ngema inayoonyesha wanafunzi wakishiriki katika maandamano ya Soweto wakipinga ubaguzi wa rangi. Ilitengenezwa pia katika filamu ya 1992 ikichezwa na Leleti Khumalo, Whoopi Goldberg, Miriam Makeba, John kani na Tertius Meintjies.

Angalia video hapa chini…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s