BREAKING NEWS:Igunga-Wananchi wamezuia barabara baada ya dereva bajaji kuuawa

Wananchi wenye hasira kali wamezuia barabara ya Singida-Nzega kwa kile kinachofahamika kama kusikilizwa kilio chao baada ya dereva bajaji kukutwa ameuawa hapo jana na bajaji yake ikiwa imechomolewa vifaa mbalimbali katika kijiji cha Igogo wilayani Igunga.

Hili siyo tukio la kwanza kwa dereva bajaji kuuawa kinyama na watekaji wilayani hapa,miezi miwili iliyopita dereva bajaji aliuawa kinyama na bajaji yake kukutwa imechomolewa injini na vifaa vingine katika eneo hilo hilo la Igogo wilayani Igunga.

Picha katika matukio:

wp_20161212_13_28_39_pro
Wananchi wenye hasira kali wakizuia barabara ya Singida-Nzega
vlcsnap-2016-12-12-16h37m31s427
Bomu la machozi likiwa limelipuliwa barabarani
wp_20161212_14_51_29_pro
Wananchi wakikimbia mabomu ya machozi mitaani
wp_20161212_15_44_27_pro
Magari yaliyokuwa yakisafiri yakipata upenyo wa kuendelea na safari baada ya polisi kuondoa vizuizi barabarani
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s